...
Monday, 19 February 2024
Thursday, 1 February 2024
Naomba Kuondoka Lyrics Video
Haya mapenzi namna gani?Tunapigana mbele ya watoto jamaniTunatusiantusiana mbele ya majiraniMbona tunavuana mavazi hadharaniNajua kawaida binadamu zipo siku hawapataniLakini zogo letu halina mwisho kwa niniDhuluma dhuluma drama drama dhuluma ya niniKama mapenzi namna hiiNaomba kuondokaAyayayaNaomba kuondokaAyayayaNaomba kuondokaAyayayaNaomba kuondokaAyayaya Haya...